Jana tarehe 16 mtu mzima H.Baba msanii
kutoka kule Mwanza alikuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa na
familia yake nikimaanisha mke wake na mtoto wao mpya anaitwa Tanzanite
pamoja na mama mzazi wa HBaba na wadogo zake wa mwisho. Hizi ni baadhi
ya picha tu wakiwa pamoja wakila keki kwa pamoja.
H BABA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA FAMILIA YAKE
By
Edmo Online
at
Thursday, January 16, 2014