Hii
ni Barabara Mpya kabisa ya Magari yaendayo kwa kasi Jijini Dar es
salaam ambapo sasa Baadhi ya maeneo yamegeuka Madampo ya kutupia
takataka kama inavyo onekana pichani.
Huu ni Uchafu
Hakuna anaeijali barabara hii kila kona uchafu
Takataka zinatupwa hovyo hovyo
Swali ni Je Jiji mnaliona hili mnafumbia macho au hamuoni?
Picha na Dar es salaam yetu