Waziri
Mkuu amedai bungeni Asubuhi ya leo kwamba mshahara wake hauzidi Tsh. 6 milioni na
akadai wanaodai analipwa zaidi ya hapo ni uzushi mkubwa kiasi kwamba
yeye ni mkopaji tu katika mabenki na kuwa mshahara huo ni pamoja na
mapato ya mkewe.
Amesema hayo kufuatia Mbunge wa kigoma kaskazini mh Zitto Kabwe kutamka kuwa mshahara wa waziri mkuu ni milioni 20 jambo ambalo waziri mkuu amesema si la kweli
