WASTARA KUMTANGAZA MPENZI WAKE MPYA HIVI KARIBUNI


Wastara amefunguka na kuliambia Gazeti moja la Udaku Maarufu hapa Bongo Kuwa Amechoka kusikingiziwa uongo wa kuhusishwa na wanaume mbali mbali ikiwemo huyo Mr Bond ambae Karibia Week mbili watu wanasema sema kuwa ndio mrithi wa Sajuki..


"Nachukia Sana watu wakifatilia maisha yangu Binafsi Badala ya kazi zangu nitamuanika mpenzi wangu soon kuliko kueneza habari za uongo zinazohusu mapenzi ..Iwe ni Bond wanaye Msema ama mwingine"


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo