POLISI AAMUA KUJIUA BAADA YA KUKOSEA KUTUMA SMS.ALITAKA AMTUMIE MPENZI WAKE BAHATI MBAYA IKAENDA KWA MUME WAKE.

Mwanamke Polisi aliejiua baada ya kukosea msg ya mpenzi wake na kutuma kwa mume wake Dec 5 2013Mwanamke huyu aitwae Gail Crocker ambae alikua Polisi nchini Uingereza imefahamika kwamba alijiua baada ya kumtumia mume wake meseji badala ya kumtumia mpenzi wake ambae alikua polisi mwenzake.

Kwenye msg yenyewe, Gail aliandika kumshukuru mpenzi wake kwamba aliinjoy walipotoka pamoja usiku mmoja, na kumwambia ‘natamani tungekua tunafanya hivi mara kwa mara’
Taarifa imesema Askari huyu ambae ni mama wa watoto wawili alikua akishiriki kwenye penzi la nje na askari mwenzake wakati mumewe akiwa kwenye safari za kibiashara ambapo baada ya kukosea msg aliamua kujiua kwa kunywa vidonge vingi na kujilaza kwenye buti ya gari.

Hata hivyo pamoja na Mwanamke huyo kutoka nje ya ndoa, mume wake ambae wamekua kwenye ndoa kwa miaka 30, Peter Crocker mwenye miaka 49, amesema Gail alikua Mwanamke wake wa maisha


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo