KINANA NA UJUMBE WAKE WAPOKELEWA KWA SHANGWE WILAYANI MAKETE

 Gari lililombeba katibu wa CCM Abdulrahan Kinana likiwasili kijiji cha Mfumbi wilayani Makete, Njombe akitokea mkoani Mbeya
 Katibu wa CCM Ndugu Kinana akisalimiana na mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro katika eneo la Mapokezi kata ya Mfumbi wilayani Makete
 Mkuu wa wilaya ya Makete Mh Josephine Matiro(kulia) akisalimiana na katibu wa NEC siasa na uhusiano wa kimataifa na mbunge mteule Dkt. Asharose Migiro wakati viongozi hao walipotembelea kikazi wilaya ya Makete mkoani Njombe hii leo, nyuma ni Katibu NEC itikadi na uenezi Nape Nnauye
 Katibu mkuu wa CCM Ndg Kinana akivishwa skafu mara baada ya kupokelewa wilayani Makete
 Sehemu ya umati wa watu waliofurika kumpokea Katibu mkuu wa CCM ndg Kinana na ujumbe wake katika kata ya Mfumbi wilaya ya Makete
 Katibu wa NEC siasa na uhusiano wa kimataifa Dkt Asharose Migiro akizungumza na wakazi wa Makete waliofika kumpokea
 Katibu wa NEC itikadi na uenezi Nape Nnauye akimwaga maneno matamu kwa wanamakete waliofika Mfumbi kumpokea
Katibu mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana akitoa pongezi zake kwa mapokezi mazuri aliyoyapata hii leo mara baada ya kuingia ardhi hii ya Makete


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo