MTUHUMIWA WA MAUAJI YA PADRE MUSHI WA ZANZIBAR AACHIWA KWA DHAMANA

Mahakama Kuu ya Zanzibar imemuachia kwa dhamana ndugu Omar Musa Makame baada ya wadhamini wawili kujitokeza na kumuwekea dhamana ya Shilingi laki 5 kwa kila mmoja.

Dhamana hiyo imekubaliwa na Mahakama, na ndugu Makame yupo nje,hali hii imemfanya Ndugu Makame kuungana na familia,ndugu,jamaa na marafiki ktk kipindi hiki cha mwisho wa mwaka.


Baadhi na jamaa na ndugu wameonekana kububujikwa na machozi na kuamini ipo siku haki itatendeka na ndugu yao kuwa huru,kwani wanaamini kesi hiyo ”alipewa“ kutokana na misimamo yake ya kisiasa na si kwamba alitenda.


Source: Mimi JAMII FORUM nikiwa Zenji


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo