![]() |
| Marehemu akiwa katika eneo alilokuwa akila chakula na wajukuu zake |
Mama
mmoja aliyetajwa kwa jina la Lucia Mgonga (55) mkazi wa kijiji cha Mega
wilayani Kahama mkoani Shinyanga ameuawa kwa kukatwa Mapanga na watu
wasiojulikana.
Tukio
hilo la kutisha limetokea Usiku wa kuamkia juzi majira ya saa mbili
usiku wakati bibi huyo akiwa na wajukuu zake wakipata chakula cha jioni.
