Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal ambae pia ni Mkuu wa Taasisi ya Afrika
ya Sayansi na Teknologia ya Nelson Mandela iliyopo Arusha, akimtunuku Clarence
Msafiri mhitimu wa shahada ya uzamili kwenye Mahafali ya kwanza ya Taasisi hiyo
iliyofanyika leo Disemba 19-2013.
Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi
na Teknologia ya Nelson Mandela iliyopo Arusha akimkabidhi zawadi maalum Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal ambae
pia ni Mkuu wa Taasisi hiyo kwenye Mahafali ya kwanza ya Taasisi hiyo
iliyofanyika leo Disemba 19-2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal ambae pia ni Mkuu wa Taasisi ya Afrika
ya Sayansi na Teknologia ya Nelson Mandela iliyopo Arusha, akihutubia kwenye
Mahafali ya kwanza ya Taasisi hiyo iliyofanyika leo Disemba 19-2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal ambae pia ni Mkuu wa Taasisi ya Afrika
ya Sayansi na Teknologia ya Nelson Mandela iliyopo Arusha, akiwa kwenye maandamano ya wahitimu wa shahada ya
uzamili kwenye Mahafali ya kwanza ya Taasisi hiyo iliyofanyika leo Disemba
19-2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal ambae pia ni Mkuu wa Taasisi ya Afrika
ya Sayansi na Teknologia ya Nelson Mandela iliyopo Arusha, katikati akiwa
katika picha ya pamoja na wahitimu wa shahada ya Uzamili kwenye Mahafali ya
kwanza ya Taasisi hiyo iliyofanyika leo Disemba 19-2013.Picha na OMR)