HOT NEWS: NDEGE YA ETHIOPIAN AIRLINES ILIYOTUA KWA DHARURA ARUSHA IMERUKA KUELEKEA UWANJA WA KIA

Taarifa zilizoufikia mtandao huu hivi ppunde kutoka kwa mdau wetu wa EDDY BLOG Arusha, ni kwamba ndege ya Ethiopian Airlines iliyokuwa imetua kwa dharura uwanja mdogo wa ndege Arusha na kusababisha ndege hiyo kukwama kwenye tope na nyasi, hii leo majira ya saa tano na dakika arobaini na tano, imeruka kuelekea uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA)

Hii inafuatia juhudi za kuinasua ndege hiyo zilofanywa toka jana kuzaa matunda

Asante sana mdau wetu kwa taarifa hiyo


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo