Katika
hali ya kusikitisha wasichana watano walio kuwa wamelala katika chumba
kimoja huko nchini Nijeria wamekutwa wamekufa, huku ikisemekana chanzo
cha kukutwa na umauti huo ni kukosa hewa kabisa katika chumba hicho
walimokuwa wamelala.
WASICHANA WATANO WAKUTWA WAMEKUFA KATIKA CHUMBA KIMOJA ..!!
By
Edmo Online
at
Wednesday, November 20, 2013
