UTAPELI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII UNAOHUSISHA JINA LA JOKATE MWENGELO WABAINIKA


Licha ya faida ambazo watu maarufu wanazipata kupitia social media lakini hii ni moja kati ya hasara kubwa wanazozipata pia kupitia mitandao hii ya kijamii.

Jana kwenye Amplifaya moja ya headline ilikuwa ni kuhusu jina la Mr Blue kwenye facebook kutumika kumtapeli promoter mmoja huko Kenya na Mr Blue alielezea vizuri.

Leo hii @jokatem amewapa habari fans wake kuhusu account feki iliyopo kwenye instagram kwa jina la Jokate Urbun Mwegelo ambapo taarifa kutoka kwa Jokate ni kwamba ushafanyika utapeli kupita hiyo account.

“Poleni kwa wale waliotapeliwa laki tatu,simu etc. Hii ni account  fake na sipo kwenye insta message. Samahani kwa usumbufu wowote uliojitokeza.

Waambie na wenzenu napata wasichana wengi wanalalamika na ahadi hewa zinazotolewa kupitia account hiyo”. Hii ni tafsiri ya maneno aliyoaandika Jokate.
=millardayo.com
j1
Hapo chini ndiyo account feki na Jokate Instagram anatumia jina la JokateM
j2


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo