KWA MUJIBU WA WAZIRI SIMBACHAWENE, ASIYEWEZA KULIPIA ONGEZEKO LA GHARAMA ZA UMEME ATUMIE HII KITU HAPA..!!!!

Hiki ndicho kibatari ambacho kwa mujibu wa maelezo ya naibu waziri wa nishati na madini anayeshughulikia nishati Mh. George Simbachawene amesema wananchi ambao hawataweza kulipia gharama mpya za ongezeko la umeme wakitumie hiki hapa!


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo