Babu Seya na Papii Kocha walihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka
2004 baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi watoto wa Shule ya
Msingi, Mashujaa, Sinza jijini Dar ambapo wamekuwa wakikata rufaa mara
kwa mara lakini wakagonga mwamba.
Hukumu hii ya rufaa ndiyo ya mwisho
kusikilizwa.
-GPL-