MTANZANIA AVAMIWA NA KUUMIZWA VIBAYA HUKO NAIROBI KENYA, YUPO HOI BIN TAABAN HOSPITALINI

HUYU NI MTANZANIA ALIYEVAMIWA HAPA NAIROBI NA KUUMIZWA VIBAYA HAPO JANA NA AMEJITAMBURISHA KWA POLICE WALIOMUOKOTA KAMA DR.JUMA MALIKI.

TUNAPENDA KUWAOMBA YEYOTE ANAYEMFAHAMU AWASILIANE NA NA NDUGU ZAKE MAANA ANA HALI MABAYA NA HAKUNA ALIYEJITOKEZA KUMJUA.

AMELAZWA HAPA KENYATTA NATIONAL HOSPITAL.NA HAKUNA TAARIFA ZAIDI YA HIZI.(na kwa sasa hawezi kuongea)

Click image for larger version. 

Name: j malik.jpg 
Views: 0 
Size: 66.6 KB 
ID: 123114


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo