BASI LA ZAMOYONI LAPATA AJALI TANGA, WATANO WAFARIKI PAPO HAPO 14 WAJERUHIWA!

Watu 5 wamefariki dunia papo hapo na wengine 14 wamejeruhiwa vibaya baada ya basi la Zamoyoni kugongana uso kwa uso na gari dogo la abiria katika kijiji cha Mandela wilayani Korogwe mkoani Tanga.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo