MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAONGOZA WANANCHI KUAGA MWILI WA DKT. SENGONDO MVUNGI JIJINI DAR LEO

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiNq-Ra0MIcNjpOzYJC0Rug14kkKzxahQ4bz9lon0BfQz3dbmyoes2nQmKSYmU-yYwZlM0mRBlSnIeipwu1VW6-l-rYKpec80b2WshWy29CWTT0it3Kgz9bpzlcUqRFimed4L-noWLm_gat/s1600/01.jpgMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuagwa mwili huo iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgLHm1mcvOTIqvY7iRG8q7-wSAJfft_uPKNZoI0sp5KK1zgTqTixlXk55y-6S-ZM6bEwXS4S5KyoT7WBPrNcbtN-lY2coB3N3GK-PJ4buAIKEZ6IvuMIaG_ibhm7ig3fQlfzz9cW16Wzs6v/s1600/2.jpg Jeneza lenye mwili wa marehemu Dkt.Sengondo Mvungi, likiwasili kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo kwa ajili ya kuagwa
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhLSr3k7WAJXAjnQoWD2RA4fI-4PN-8gc-VKRjzx67DaHm1UvvY5xMjfCRdHSI5fdlGEu6po0pLFjNnWEU9av5qwJPlAwY2CYdJ62QYVrX0keXNW4PNPXuHFwDBdvM5HD-gYWgs7Yq6IJgs/s1600/3.jpg https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjsczmregwUq0VUmUixQ_A1g-zQsJExmmGUfjW-GVtD3wQWOB-Go8uCO8G_9ooYg8X-IvSeIjVpXHAb8qmK4j_t2aT9SVWAipvQzAdLYYwphroi99aFqNVGpoVgVLy-VRErkUi-a5RgfXZV/s1600/07.jpghttps://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhDLKXPmRTruiOWYUvDjWkgv_fqnhYLuZ1CzldzqnrH9HHiPNHKz4CFMXwk8YhWL0s6sI4t7Cuck4p01F4ZP5yOkOKniIVG3PsuPvlq94dTour6mT-gpBR5om4R9SQ2O3FJVoUN7rHcDi4R/s1600/02+(1).jpgMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza kutoka salamu za rambi rambi za serikali wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj24JvcIo_XZb2cgFjFRlK7zK31vKoeBbbwDX2KcNLPySfHgD6UiZNL_SUCHIxhsM6AR_Kh8v8WoLb_n6qM10PS2eSr_t26E3WC5Gy5jApe3LkpTWPrIIhWAIYJFf3bbC5ok4tZyhYUMYgM/s1600/04.jpgWaziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Katiba Jaji Joseph Sinde Warionba akiongea machache wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgM-T4cL0x6F1xMBhvpxQR870qK6HZVdbDJpm_UefUno70jiVkPVQCwZMgP7_VXPF47A3UMRCzvGNNnbM_0TTYWFrh2uLltVUVXkoiTPC57tbTqr402ckR6V9evoP1eq-dQshbN6tpWjllA/s1600/08.jpg Makamu wa Rais Dkt Gahlib Bilali, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Katiba Jaji Joseph Warioba, Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Mhe Angela Kairuki na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Mhe James Mbatia wakiwa katika shughuli za kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo. 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgHzH_QzwYEvwxiXN8B9PgJh4moeg5eNsqjahbkkN_998Vp134VVV42N60BZcdpVRThvkIzM-ewtW_u_Im6PmBwdTa22Q6IB0F_5j8DM4qfEL3vRPcJVscKRppB8z97UMIy7BEQFDK1_Dgi/s1600/06.jpg Misa wakati wa shughuli hiyo
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhwZprtiy7heDG38SThejkTz50IV5y-QPcJvCOWkeATmxvcXS4lq5XZufnNJjPqA13etSk8M03aU9Z4G05UPfSSAGndSW8ePPVxH7SB2v6-n4OBfwcssvMqtPH73wNE40Vo5KE3_e90NQJ0/s1600/03.jpg Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda  akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuagwa mwili huo iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo. Picha na OMR


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo