skip to main |
skip to sidebar
MAELFU YA WATU WAFURIKA MKUTANO WA KINANA TUNDUMA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutumia maelfu ya
wananchi katika Uwanja wa Shule ya Maingi Mwaka, mjini Tunduma, jioni
hii, Nov 28,2013, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya
CCM, kusikiliza kero za wananchi na kuzungumza nao njia ya kuzitatua,
katika mkoa wa Mbeya. (Picha na Bashir Nkoromo).
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi