Tumezoea kuona au kusikia zaidi mwanaume kuwa na uhusiano na wasichana
wawili ambao wanajifahamu, lakini huko Uingereza mwanamke mmoja ameamua
kuishi na wanaume wake wawili nyumba moja, mmoja ni mume wake wa ndoa na
mwingine ni boyfriend wake.
Maria Butzki na wapenzi wake, Maria akiwa na mumewe Paul (kushoto) na boyfriend Pater (kulia)
Mwanamke huyo Maria Butziki (33) mama wa watoto wawili anauita uamuzi
huo kuwa ni perfect solution ya tatizo lililokuwa linamtatiza la
kushindwa kumuacha yeyote kati yao sababu anawapenda wote. people might think it's weird but I love both men and couldn't choose
between them, alisema Maria katika mahojiano.
Cha kushangaza zaidi ni kuwa wanaume wote wawili wamekubaliana na uamuzi
huo na wanaishi kwa furaha kama familia moja pamoja na watoto wawili wa
Maria.
Maria aliwahi kuachana na mumewe Paul na kuanzisha uhusiano na Peter
kabla hajagundua kuwa moyo wake hauwezi kumsahau mumewe na wakati huo
huo hawezi kumuacha Peter.
When I left Paul there was a huge hall in my life. But the thought of
never seeing Peter again was heart breaking. So living with both men is
the only way. Alisema Maria
Maria Butzki na familia
*Maria akiwa na wapenzi wake pamoja na mabinti zake wawili kama familia
moja*
Upande wa mumewe Paul yeye kamsifia mume mwenza Peter is a great guy.
When Maria first had the affair with him I was just heartbroken. But as
I got to know him, I realised we have so much in common. We both adore
fishing, and he's like a surrogate dad to the kids
Upande wa Peter naye amesema anaelewana vizuri na mume wa mpenzi wake na
wala haoni wivu kushare naye mpenzi We all get on so well. It doesn't
feel as if I'm Âsharing Maria. There's no jealousy it feels as if we
area team.
Pamoja na kuwa wana mahusiano ya kimapenzi lakini Maria amesema huwa
hajichanganyi nao chumba kimoja, boyfriend hulala kwenye kochi wakati
mume ana chumba chake na Maria hulala na mtoto wake mkubwa wa kike.
"The three of us never share a bed. Although I have a sexual
relationship with each man, that side is kept very private"Alisema Maria.
Najua unaweza kuwa unajiulizaja watatu hawa wanautaratibu upi katika
swala la kushiriki tendo la ndoa, Maria amesema mmoja kati yao anapokuwa
ametoka basi aliyebaki ndio anapata nafasi ya kufanya naye mapenzi
lakini hawajawahi kuzungumza kwa pamoja kuhusu swala hilo aliloliita
credits:bongo5