HATARI AJALI YA BODABODA NA GARI

Abiria hoi baada ya ajali.
Wasamaria wema wakijaribu kutoa msaada.
Dereva wa bodaboda akishika sehemu ya mguu wake iliyovunjika.
Wakisubiri msaada.
Bodaboda yao.
Wasamaria wema wakitafakari jinsi ya kuwakimbiza kupata matibabu.
Majonzi.
Gari iliyowagonga.

Dereva wa bodaboda amevunjika mguu na abiria wake kupoteza fahamu baada ya kugongwa na gari ndogo aina ya  Toyota Carina yenye namba za usajili T236ATJ . 

Ajali imetokea Barabara ya Morogoro eneo la Kimara Stop Over jijini Dar wakati bodaboda hiyo ilipokuwa ikitokea Mbezi kuelekea mjini kugongwa na gari hiyo ilitokea upande huo kukunja kona upande kushoto wa ghafla na kuwazoa majeruhi hao.
( PICHA : RICHARD BUKOS / GPL )


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo