Leo hii mwanadada wema sepetu ameoneka akipost kitu kwa mara ya
kwanza kwenye mitandao ya kijamii baada ya muda mrefu toka msiba wa baba
yake ulipotokea hivi karibuni
Katika post hiyo Wema amewataka “Teamwema” wapunguze jazba juu
yanayotokea juu yake na kuwasihi kuwa wapunguze kutumia lugha ya matusi
kwenye mitandao hiyo maana wanamuumiza ‘madame’
Ujumbe wake unasomeka kama ifuatavyo….
"...my darlings... im still grieving... i know you guys miss
me... nd i miss you more... im jus still nat okay... but im right
here... nipo pamoja na nyinyi... muda tu kidogo... dats all im asking
for... nawapenda... saana kupita maelezo... im gone be baq... very
soon... i promise... its jus dat sipo sawa. .. but inshallah... ntakuwa
sawa... inshallah... its hard... i hope mnanielewa... i repeat nawapenda
mno... mno... more dan u think... u kip me goin... u make me who iam...
sema tu msifanye vile basi... msitukane... me mwenzenu bado im nat
okay... alafu mnaniongezea matatizo... mi spendi... all in all i still
love you guys... basi msinikere... sawa... sometimes its best to jus
keep quiet... okay.... much love... P.S: Iam a father's daughter...♡♡♡