skip to main |
skip to sidebar
MAKAMU WA RAIS DK BILAL AIFANYA IRINGA KUWA NYEUPEEEEE
Magari yote mjini Iringa yapo "chimbo" kufuatia kuwasili kwa msafara wa makamu wa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk Mohamed Gharib Bilal unaotoka mkoani Njombe kwenda Iringa. Makamu wa rais alikuwepo Njombe tangu jana kushiriki mazishi ya askofu mstaafu wa RC Njombe
PICHA NA MDAU FRANCIS GODWIN
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi