 |
Baadhi ya Wahandisi
waliohudhuria hafla ya maadhimisho ya siku ya Wahandisi 2013 leo jijini Dar es
Salaam wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Waziri wa Ujenzi Dkt. John
Magufuli (hayupo pichani.)
|
 |
Waziri wa Ujenzi Dkt.
John Magufuli (kulia) akizindua rasmi kiapo cha utii kwa Wahandisi Wataalamu
leo jijini Dar es Salaam kilichofanyika katika hafla ya maadhimisho ya
Siku ya Wahandisi 2013. Picha kushoto ni Msajili wa Bodi ya Usajili
wa Wahandisi nchini Mhandisi Steven Mlote, (katikati) ni Hakimu Mkazi wa
Mahakama ya Kisutu Wariyaruandwe Lema.
|
 |
Hakimu Mkazi wa Mahakama
ya Kisutu Wariyaruandwe Lema(kulia) akiwaapisha Wahandisi mbalimbali
kutoka taasisi na mashirika ya kihandisi,leo jijini Dar es Salaam katika
maadhimisho ya siku ya wahandisi 2013 leo jijini Dar es Salaam
|
 |
| Baadhi ya wahandisi wakila kiapo cha utii leo jijini Dar es Salaam. |
 |
Waziri wa Ujenzi Dkt.
John Magufuli (kulia) akimkabidhi cheti pamoja na luptop Anna Msigwa
mmoja ya mhandisi mhitimu aliefanya vizuri zaidi katika mtihani wa mwisho
wa mwaka 2012/ 2013, (Pichani mwenye kipaza sauti) Ni Msajili wa
Bodi ya Wasajili Mhandisis Steven Mlote.
|
 |
Waziri wa Ujenzi Dkt.
John Magufuli (kulia) akimpatia cheti Mhandisi mhitimu Nora Abdalla kati
ya aliefanya vizuri zaidi katika mitimani yao ya mwaka wa mwisho2012/2013.
(katikati)Masjili wa Bodi ya Wahandisi Mhandisi Steven Mlote.
|
 |
Katibu Mkuu mstaafu wa
Wizara ya Ujenzi Balozi Hebert Mrango (aliesimama) akiongea leo katika hafla
hiyo ya siku ya wahandisi 2013 , ambapo amechukua nafasi ya kuwashukuru
wahandisi wote kwa ushirikiano wao wakati akiwa mtumishi wa wizara ya Ujenzi,
Jumuiya ya Wahandisi Tanzania inaadhimisha siku ya Wahandisi kwa mara ya kumi
na moja toka kuzinduliwa siku ya Wahandisi nchini tarehe 13 Januari,2013 na Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa wakati huo
|
(Picha zote na Mwanakombo Jumaa)