Wanahabari wa vyombo mbali mbali na
wadau wa habari mkoa wa Iringa wakiwa katika maandamano ya amani
ya kumuenzi aliyekuwa mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari
mkoa wa Iringa (IPC) leo
Maandamano ya wanahabari na wadau wa habari yakipita eneo la soko kuu la manispaa ya Iringa
katibu wa IPC Francis Godwin
akiongoza maandamano ya wanahabari na wadau huku akiwa juu ya gari
na picha ya marehemu Daudi Mwangosi
Wanahabari Iringa katika maandamano ya kumuenzi marehemu Mwangosi leo
Maandamano ya wanahabari na wadau
wa habari mkoa wa Iringa ya kumuenzi marehemu Daudi Mwangosi
yakipita eneo ya uhindini
Wananchi wakishuhudia maandamano hayo leo
katibu mtendaji wa IPC Francis Godwin akitoa taarifa ya kuanza kwa maandamano ya kumuenzi marehemu Daudi Mwangosi leo
Katibu wa IPC Francis Godwin mwenye
pama akikabidhi maandamano ya mwenyekiti wa IPC Frank Leonard na
wadau wengine eneo la Maktaba ya mkoa wa Iringa
Katibu wa IPC Francis Godwin kushoto
akikabidhi picha ya marehemu Daudi Mwangosi kwa mwenyekiti wa IPC
Frank Leonard kulia,wanaoshuhudia ni mzee Fulgence Malangalila na
Majid Mjengwa
Mwenyekiti wa IPC Frank Leonard kushoto akikabidhi picha ya Mwangosi kwa mwasisi wa IPC mzee Fulgence Malangalila (Picha zote kwa hisani ya matukio daima)