skip to main |
skip to sidebar
BREAKING NEWS: WASANII WA JAHAZI MODERN TAARAB WAPATA AJALI
Wasanii wa kundi la Jahazi Modern Taarab wamepata ajali eneo la Mkata wakitokea Moshi akiwemo Mzee Yusufu lakini wamenusurika kifo.
Ajali hiyo imetokea maeneo ya Mkata na kundi la jahazi wapo salama, hakuna aliyeumia ila hiyo gari nyingine walilogongana nalo wamekufa watu saba.
CHANZO: EMMANUEL SHILATU BLOG
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi