Wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi Dar es Salaam (DART),
ya Strabag, wakiwa nje ya lango kuu la kuingilia makao makuu ya kampuni
hiyo, Ubungo, Dar es Salaam asubuhi hii baada ya uongozi wa kampuni
hiyo kuwafungia nje, kutokana na mgomo wa kudai maslahi zaidi kufanyika
jana. (picha na ujijiraha blog)
WAFANYAKAZI WA STRABAG WAJENZI WA MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI DAR ES SALAAM (DART ) WAFUNGIWA NJE NA UONGOZI
By
Unknown
at
Tuesday, September 03, 2013