Ado Mapunda
Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa huduma
za Bima ya Afya katika Halmashauri ya wilaya ya Kilwa jana kulia ni Bw. Khamis
Mdee Kaimu Mkurugenzi NHIF na kushoto ni Dr. Beatrice Mwakipesile kutoka NHIF .
Baadhi ya wazee wakisubiri kupata huduma ya upimaji wa afya zao katika viwanja vya Mkapa Garden mjini Kilwa jana .
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mfuko wa taifa wa Bima ya Afya NHIF Balozi Ali Mchumo akipata huduma ya vipimo kutoka kwa mmoja wa madaktari wa NHIF jana anayeshuhudia ni mama Fatma Said Ali Mke wa Balozi Ali Mchumo .
NHIF YAZINDUA HUDUMA ZA BIMA YA AFYA YA JAMII (CHF) MJINI KILWA
By
Unknown
at
Tuesday, September 03, 2013