Mdogo wake Daudi Mwangosi akiwashukuru Chadema na wananchi wa Nyololo kwa kuweka kumbukumbu ya kaka yao mpendwa...
Hatimaye ule mnara kwa ajili ya kumkumbuka mwandishi wa habari Daudi
Mwangosi aliyeuawa kwa bomu la polisi mbele ya Rpc Kamuhanda wajengwa
kijijini Nyololo...