Taarifa za uhakika ni kuwa kuna Askari mmoja ambaye ni miongoni mwa
walinzi wa Bunge ameenda kufungua faili Polisi Dodoma na kusema kuwa
ametishiwa kupigwa na Mbunge Sugu,
baada ya kufungua JALADA hilo polisi
wamechukua Diffender 6 na wameingia mitaani kumtafuta ili aweke ndani
mpaka kesho ndio afikishwe mahakamani asubuhi.
Lengo la kutaka kumkamata leo ni ili alala ndani hadi kesho asubuhi.
Bunge limebariki ujinga huu bila kujali kinga na madaraka ya Bunge, pia bila kujali ibara ya 100 ya katiba kuhusu haki za Bunge.
Lengo la kutaka kumkamata leo ni ili alala ndani hadi kesho asubuhi.
Bunge limebariki ujinga huu bila kujali kinga na madaraka ya Bunge, pia bila kujali ibara ya 100 ya katiba kuhusu haki za Bunge.
CHANZO:JF