MWANAMKE KICHECHE AMEZA SIMU ILI BOYFRIEND WAKE ASISOME MESEJI

Chanzo cha Spanish website Yipeta.com kinasema, mwanamke wa miaka 19 kutoka Brazil anayeitwa Adriana Andrade alikuwa so desperate kumficha boyfriend wake asisome meseji iliyokuwa kwenye simu yake kiasi kwamba alipomwambia anaomba asome alikimbia.
 
Na alipofika mbali alifanya 'the unthinkable' akaimeza simu yake. 
 
Anatakiwa afanyiwe oparesheni ili simu hiyo itolewe


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo