Ni mwendo wa kupiga kura hivi sasa, unaombwa uendelee kupigia kura blog hii ya EDDY BLOG ambayo kwa mara ya kwanza mmeipendekeza iingie kwenye tuzo za Tanzanian Blog awards kwa mwaka 2013, hivyo tunakuomba uipigie kura kwa kadri uwezavyo kwa kubonyeza link hii hapa chini na chagua eddymoblaze.blogspot.com:-
asante kwa ushirikiano wako
EDDY BLOG TEAM