MADA MAUGO ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA RORYA KUPITIA CHADEMA


Akizungumza kwenye kipindi cha FNL cha Eatv bondia na mwanajeshi alistaafu jeshini ili kuingia kwenye ngumi za kulipwa nchini alisema atagombea ubunge wa jimbo la Rorya lililoko mkoani Mara..

Maugo ambae ni bondia mashuhuri nchini amesema kwamba ameshaongea na mbunge wa sasa ambae ni Lemec Airo na kumhakikishia kwamba hatangombea mwaka 2015!


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo