Wananchi wa Uwemba wilaya ya Njombe wakishuhudia ajali ya gari
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo
Filikunjombe kulia akishuhudia ajali ya gali lenye namba T570BNP
ambalo lilipinduka na dereva wake mwenye koti jekundi akiwa
amechomoka katika gari hilo ambalo lilikuwa na abiria mmoja ambae pia
amepona
Abiria wa gari hilo akiruka katika gari hilo baada ya ajali kutokea
Abiria aliyekuwemo katika gari hilo
akijiokoa kwa kuruka katika gari mara baada ya kupinduka eneo la
Uwemba barabara kuu ya Njombe - Ludewa .Picha zote kwa hisani ya matukiodaima.com