Picha zote zinaonesha watoto ambao hawajafahamika mara moja wakicheza kwenye vumbi kama walivyonaswa na kamera yetu katika kata ya Lupila wilayani Makete, watoto hao hawajali madhara yatokanayo na kucheza kwenye vumbi ukizingatia msimu huu ni wa kiangazi hivyo maeneo mengi ya wilaya hiyo yametapakaa vumbi. EE MUNGU wanusuru na magonjwa watoto hawa
WATOTO WANAPOAMUA KUCHEZA MAZINGIRA YASIYO SALAMA LUPILA MAKETE
By
Unknown
at
Thursday, August 01, 2013