skip to main |
skip to sidebar
WANANCHI WA NJOMBE WATAKIWA KUONGEZA KASI YA KUCHANGIA MIRADI YA MAENDELEO
Wananchi
Mkoani Njombe Wametakiwa Kuongeza Kasi Katika Uchangiaji wa Miradi ya
Elimu na Kuongeza Ujenzi wa Shule Ili Kuwawezesha Wanafunzi Wengi Kuweza
Kupata Nafasi ya Kusoma.
Akizungumza Wakati wa Uzinduzi wa
Shule ya Msingi Mtakatifu Bakita na Harambee ya Ujenzi wa Shule ya
Secondary ya Mtakatifu Bakita Kamanda wa Vijana Wilayani Njombe Bw Deo
Mwanyika Amesema Kasi ya Uchangiaji Maendeleo Miongoni Mwa Wananchi
Mkoani Njombe Imekuwa Sio ya Kuridhisha Jambo Linaloufanya Mkoa wa
Njombe Kuwa Nyuma Kimaendeleo Licha ya Kuwa na Fursa Nyingi za Kiuchumi.
Katika Harambee Hiyo Zaidi ya Shillingi Millioni Hamsini Ikiwemo Fedha Taslimu na Ahadi Pamoja na Vifaa Mbalimbali Vya Ujenzi.
CHANZO:UPLANDS FM
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi