UKIACHA KILIMO, HII NDIYO KAZI INAYOSHIKA KASI MSIMU HUU WILAYANI MAKETE

 Tofali zimeanikwa ili zikauke kabla ya kupangwa kwenye tanuru kwa ajili ya kuchomwa
 Tofali zikipangwa kwa ajili ya kuchomwa moto ili ziwe imara
Msimu huu wa kiangazi kwa kiasi kikubwa wananchi wengi wanafanya kazi ya kufyatua na kuchoma tofali kwa ajili ya shughuli za ujenzi, kutokana na wilaya ya Makete kuwa na msimu mkubwa wa mvua wakati huu wa kiangazi wananchi mbali ya kuandaa mashamba kwa ajili ya kilimo lakini wengine hufyatua na kuchoma tofali, kama kamera yetu ilivyonasa hizi shughuli katika kata ya Tandala wilayani hapo


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo