MSHAMBULIAJI WA YANGA HAMIS KIIZA ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUENDELEA KUKIPIGA YANGA

Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu hiyo ya Jangwani. 

Kiiza alisaini mkataba huo katika hoteli ya Protea, Dar es Salaam na kufanya idadi ya wachezaji wa kimataifa kufikia wanne.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo