wafugaji wa Kabila la wamasai na wengine waishio mkoa wa Arusha na Manyara wanapata tabu ya kulisha mifugo yao kutokana na ukame uliokumba baadhi ya maeneo kutokana na kukosekana kwa mvua, hata hivyo serikali ilichukua hatua kwa kutengeneza malambo ambayo huifadhi maji ya kuwasaidia wafugaji hao kunywesha maji mifugo yao, ingawa hali ya mazingira ni kama unavyoiona kwenye picha hizo hapo juu
TAZAMA MIFUGO INAVYOPATA TABU KUTOKANA NA UKOSEFU WA MVUA MKOANI ARUSHA
By
Edmo Online
at
Sunday, August 25, 2013