Imam
Mkuu wa Msikiti wa Manyema,Sheikh Hamad Jongo akiswalisha Swala ya Idd
el Fitri,ambayo kimkoa imeswaliwa jana katika viwanja vya Mnazi
Mmoja,Jijini Dar es Salaam.ikiwa ni ibada ya kumalizika kwa mfungo wa
mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Waumin
wa Kiislam kutoka maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es
Salaam,wakishiriki kwenye Swala ya Idd el Fitri,ambayo kimkoa imeswaliwa jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam.ikiwa ni ibada
ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Imam
Mkuu wa Msikiti wa Manyema,Sheikh Hamad Jongo akitoa hotuba wakati wa
Swala ya Idd el Fitri,ambayo kimkoa imeswaliwa jana katika viwanja vya
Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam.ikiwa ni ibada ya kumalizika kwa mfungo
wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Waumin
wa Kiislam kutoka maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es
Salaam,wakifuatilia hotuba iliyokuwa ikitolewa na Imam Mkuu wa Msikiti
wa Manyema,Sheikh Hamad Jongo wakati wa Swala ya Idd el Fitri,ambayo
kimkoa imeswaliwa jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es
Salaam.ikiwa ni ibada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa
Ramadhan.
Mwenyekiti
wa CUF,Prof. Ibrahim Lipumba akiwa akiwa ni miongoni mwa waumini wa
kiislam walioswali swala ya Idd el Fitr,kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es Salaam jana.
Waumini.
Sheikh
Mkuu wa Mkoa Wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum akitoa nasaha
zake mara baada ya Swala ya Idd el Fitri,ambayo kimkoa imeswaliwa jana
katika viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam.ikiwa ni ibada ya
kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Sheikh akisoma Dua.
Mkono wa Idd el Fitr.
Sie tukiwa na Bi. Mkubwa mara baada ya Swala ya Idd.PICHA ZOTE NA JIACHIE













