Wafanyakazi wa shirika la SUMASESU lenye makao makuu yake wilayani Makete mkoani Njombe wakiongozwa na mkurugenzi wao Egnatio Mtawa (wa kwanza kushoto) wakitembea kwenye maeneo tofauti tofauti ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) walipofanya ziara ya kujifunza namna uwanja huo unavyofanya kazi
Meneja wa zamu wa kiwanja cha ndege cha Kilimanjaro akitoa maelezo ya namna kiwanja hicho kinavyofanya kazi kwa wafanyakazi wa sumsesu(hawapo pichani) wakati walipofanya ziara katika kiwanja hicho hivi karibuni
baadhi ya majengo ya kiwanja hicho
Ndege ndogo iliyotua uwanjani hapo wakati ziara ikiendelea