skip to main |
skip to sidebar
POLISI WAKANUSHA KUMPIGA RISASI SHEIKH PONDA, WADAI WAO WANAMSAKA NA HAWAJUI ALIPO
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limekanusha kumpiga risasi Katibu wa
Jumuiya ya Taasisi za Kiislam Sheikh Ponda Issa Ponda.
Kamanda wa Polisi
mkoani Morogoro ACP Faustine Shilogile amesema polisi walikwenda
kumkamata lakini kwa kusaidiwa na wafuasi wake aliwatoroka na hawajui
alipo. Jeshi hilo bado linamsaka na halina taarifa kama yupo hai au la.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi