Choo cha nyumba moja iliyopo mtaa wa sokoni Makete mjini kama kilivyonaswa na mwandishi wetu katika pita pita zake hii leo, choo hiki pamoja na kuwa na mwonekano ambao si mzuri lakini bado kinatumika
Leo asubuhi ni mwendo wa barafu hapa makete kama unavyoona
Wanafunzi wa shule ya Msingu Lupila wilayani Makete wakiwa katika kazi za nje kama uonavyo
Kibao hiki kipo eneo la jimboni Lupila kikiashiria kuwa ni kivuko cha waenda kwa miguu lakini kilivyochakaaaa sasa, duuuuuuuh