PICHA ZA MAONESHO YA NANENANE MKOA WA MOROGORO

Msaidizi Meneja Uzalishaji kampuni ya Faembase LTD, Aziza Ahmed akifafanua jambo kwa mteja kuhusu dawa ya Ecotix inayoua wadudu katika mwili wa wanyama kama mbung'o, kupe, mainzi n:k katika banda la  Mifugo na Kilimo la Farmbase LTD katika maonesho ya wakulima ya Nanenane kanda ya mashariki uwanja wa Mwl Julius Nyerere Morogoro. PICHA NA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
Daktari wa Mifugo, Ahmed Nassour kushoto akifafanua jambo kwa wateja waliotembelea banda la Farmbase LTD kujua namna ya matumizi mbalimbali ya madawa ya kilimo na mifugo katika maonesho hayo ya Nanenane. 
 Nyanya aina ya Anna zikiwa katika vipando vya banda la Farmbase LTD katika maonyesho hayo.
 Haya ni matango aina ya Darina katika vipando hivyo.
 Cabbege aina ya Blue Dynasty ikiwa imestawi vizuri
 Bilinganya aina ya Eggy Plant Black
 Sukuma wiki aina ya Collarogeorgia
Sehemu ya ndani ya banda la Farmbase LTD likionekana limepangwa bidhaa aina mbalimbali zikiwemo dawa za mifugo na kilimo katika maonesho hayo mkabala na banda la halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ama banda la Mtibwa Sugar.
 
CREDITS:JUMA MTANDA BLOG


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo