MTOTO WA KING MAJUTO ASEMA "NI UONGO MKUBWA KUWA BABA KAOA KISIRISIRI"

http://gushit.com/files/bookmark_photos/452203dd6fL.jpg

Akiongea leo muda mchache uliopita Hamza King majuto amekanusha vikali kwamba taarifa za baba yake king majuto kufunga ndoa kisirisiri mwezi huu si kweli na ni suala la udhalilishaji,

Alizidi kukanusha na kusema kwamba picha hizo zilizotumika hapo kwenye habari hiyo ni za filamu aliyocheza hivi majuzi, Kwakweli imenikera sana baada ya kupokea simu nyingi kutoka kwa mashabiki wa mzee na kuniuliza kuhusu suala hili alisema ''Hamza''.. 

Alisema hamza mtoto wa King Majuto ambaye ndiye msemaji na meneja wa mzee Majuto, kwa atakayetaka kutambua ukweli zaidi kuhusu habari hii ampigie Hamza moja kwa moja namba yake hii hapa- +255 717 069 000

chanzo:Masai Nyotambofu Blog


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo