PICHA YA HEMEDI PHD BAADA YA KUPATA AJALI MBAYA YA GARI


Muigizaji Hemedy Suleiman ambaye pia ni mwanamuziki wa Bongofleva amefunguka kuwa anaendelea vizuri baada ya kupata ajali mbaya ya gari na gari hilo kudaiwa kuharibika. 
 
 Hemedy alikuwa akimsindikiza Gerry Wa Rhymes ambaye pia ni msanii
maarufu nyumbani kwake Sinza na kupata ajali baada ya kugonga kalivati. Kupitia mtandao mmoja wa kijamii Hemedy ameandika "Namshukuru mungu naendelea vizuri baada ya kupata ajali mbaya iliyonikuta..ahsanteni kwa dua zenu, kifua tu ndiyo kimeumia na mkono"


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo