MWANAMKE ACHOMA MOTO RANGE ROVER SPORT YA BOYFRIEND WAKE KISA, WIVU

Wivu noma sana, Dada mmoja huko Mbezi amelitia Kiberiti Gari la mpenzi wake aina ya Range Rover Jipyaaa Baada ya kukuta Condom iliyotumika kwenye gari hilo, 

Mashahidi wanasema wakati analiwasha moto alikuwa akisema kuwa hilo gari ndio linakutia kiburi mpaka kutembea na wanawake zako ndani ya gari, tuone sasa ukitaka katembee nao vichakani....


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo