Mtoto huyu mchanga anaitwa Aisha
aliletwa kituo cha kulelea watoto yatima na kupokelewa na mkuu wa kituo
hicho Bi Saida Hassan kwa jina la hapo mtaani watu hupenda kumwita Bi
Khadija.
Mtoto huyu aliletwa baada ya mama yake mzazi kufariki na, na
pia bibi yake alifariki na baada ya hapo baba yake na Aisha alipooza
(paralyse) mpaka kupelekea kichanga hicho kutopata msaada wowote.
Ila Bi
Khadija aliamua kumchukua mtoto huyo na kuanza kumlea. Kwa yeyote
aliyeguswa ampigie simu Bi Khadija kwa simu ya mkononi ambayo ni
0754584926 ukitaka kufika kituo hiki cha wa mama kipo Sinza Mori, Jijini
Dar es Salaam.