
Fundi viatu mwenye miaka 29, ambaye amemlawiti mvulana mwenye umri wa miaka 11 huko Shalom,Lashibi karibu na Sakumono akidai kwamba yeye alifanya kitendo kile kutokana na
umaskini.
Emmanuel Awuah alikiri na kutoa maelezo alipokamatwa , lakini alikuwa na
haraka ya kuomba msamaha kwa wazazi wa mwathirika aliyemlawiti mara mbili kwa kutumia syle
tofauti tofauti za ngono akiahidi kumnunulia
mwathirika MP3 player na kumtengenezea viatu. Mahakama ya Tema inayoongozwa na Emmanuel
Bart-plange Brew,haikupoteza muda wa kumsikiliza Awuah akiomba ahurumiwe na kumfunga
jela miaka 20 na kazi ngumu.
Kwa mujibu wa maelezo ya Awuah, ilikuwa ghali kuchukua mwanamke siku
hizi. Aidha, alikuwa fundi viatu wa
kawaida ambae hakuwa na uwezo wa kuhudumia mwanamke, ndiyo maana alimlawiti mtoto huyo. Wiki chache zilizopita, Awuah alikutana na mtoto
huyo pembeni ya mto Klagon karibu na Lashibi ambapo waliogelea
wote kisha wakawa marafiki,.Siku kadhaa baadae Awuah alimwona mtoto Yule anacheza
mpira akamwomba amtembelee na kumwahidi kumtengenezea viatu.
July 27,2013 kwenye saa tisa hiv jioni Yule mtoto alienda kumtembelea Awuah nyumbani kwake kuchukua
viatu alivyomuahidi kuwa atamtengenezea, Ndio hapo alipomwambia amsindikize
mtoni,na alikubali.Awuah na Yule mtoto walivua nguo ili waogelee,wakati wanaogelea
Awuah akamwinamisha mtoto huyo na kumuingizia uume wake sehemu ya haja kubwa ambako
alipata maumivu makali
Fundi viatu huyo aliyefanya kitendo hicho kisicho halali mtoni
alimrudisha mtoto huyo kwao majira ya saa kumi na nusu hivi ambako alimlazimisha tena
kulala na kumlawiti tena. Kabla ya
kumlawiti alimziba na nguo mdomoni ili
majirani wasisikie kilio chake akikataa
asimwingilie,then akapaka mafuta uume wake ili aweze kumwingilia kirahisi.
Baada tendo hilo, alimwahidi tena kumnunulia MP3 player na
kuondoka. Inasemekana kuwa mtoto Yule alianza kutoa harufu mbaya na alikuwa na
mkao ambao sio wa kawaida ambao mama yake aliuona. Mama wa mtoto huyo
alimuuliza mwanae ambae alisimulia yote aliyofanyiwa na Awuah mbele ya shahidi.
Mama alienda kutoa malalamiko polisi.
Fomu ya polisi kwa ajili ya matibabu ilitolewa kwa
mwathirika kuhudhuria hospitali kwa uchunguzi na matibabu. Ripoti ya matibabu ilithibitisha
tatizo lake. Awuah hatimaye alikamatwa. Alikiri kosa na alipelekwa mbele ya Mahakama ya Tema ambapo alihukumiwa kifungo cha miaka 20 na
kazi ngumu.