
Yalikuwa ni majira ya usiku wakati Hemedy PHD anamrudisha mshkaji wake Gelly wa Rhymes home kwake Sinza ndipo mshkaji wakati anarudi kwake ikatokea hii ajali mbaya kwa kugonga kalivati lililopo pembeni ya mtaro hapa maeneo ya Kijitonyama Kisiwani.
Hemedy ameumia kwenye paja
na kifuani ambapo stelingi(usukani) ulimbana, kwa sasa bado yuko hospitali anaendelea
na matibabu.
chanzo:dj choka