Ukitazama vizuri picha hizi utaona nyaya za umeme
zimepita kwa juu, hii inamaanisha kuwa vitindi hivi vya ulanzi
vilikatwa kupisha njia ya umeme kutoka Makete mjini hadi Tandala, lakini
hivi sasa vitindi hivi ambavyo ni maarufu kwa kutengeneza pombe ya
asili iitwayo ulanzi vimeanza kushika kasi ya kuota upya, kama
ilivyonaswa na kamera ya mtandao huu katika kijiji cha Ndulamo kata ya
Iwawa wilayani Makete
MITI YA ULANZI ILIYOFYEKWA KUPISHA MRADI WA UMEME MAKETE TANDALA YAOTA KWA KASI
By
Unknown
at
Thursday, August 08, 2013